Jumatatu, 15 Februari 2016

MBEYA ROOFING SHEET Co.ltd

Kwanini uchague Mbeya roofing Sheet.?

1..Kwanza mabati yake yanaubora wa hali ya juu na yanamfikia mteja Kwa urahisi na bei zetu ni nafuu sana..

2..Hayapati kutu haraka kwasababu mabati yetu yanamchanganyiko wa Zinc na Aluminium..

3..Yanapatikana Kwa Rangi mbalimbali..

4..Yanapendezesha nyumba na kuifanya yenye mvuto wa hali ya juu.

5..Yanaongeza thamani ya nyumba na kuifanya yenye mvuto wa hali ya juu..

6..Yanastahimili misimu yote iwe jua au mvua mabati yanabaki na ubora wake uleule.

7..Yanapatikana Kwa urefu wowote unaotaka hivyo hakuna hasara ama uharibifu wa kukatakata mabati ovyo.

8..Unapotaka mabati kwaajiri ya nyumba yako,Order inafanyiwa kazi na unapata mabati siku hiyohiyo.

KUMBUKA;Unapofikiria kujenga jenga na Mbeya roofing Sheet Co.ltd.


      Kwa mawasiliano zaidi :

      Mobile;0756 711 860

                 :0715 711 860 au 

     Barua pepe:lucasromanus1986@gmail.com 

 au Mbeyaroofing.blogspot. com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni