Jumatatu, 15 Februari 2016

Mbeya roofing sheet co ltd

Jenga na mbeya roofing sheet co.

Ni kiwanda bora na cha kisasa kilichopo jijini mbeya.

Bei zetu ni nafuu sana.

Lakini pia ni rahisi kukufikia kwasababu zinazalishwa hapahapa jijini mbeya.

Vilevile order inafanyiwa kazi siku hiyohiyo .

Pia yanapatikana Kwa urefu wowote ule unaohitaji.

Na unaokoa gharama kubwa kwasababu unatumia bati kulingana na paa lako la nyumba.

Kwamawasiliano:
                             0756711860
                             0715711860
    Au barua pepe:
                      lucasromanus1986@gmail.com

Maoni 2 :

  1. Hi
    I just want to ask about the price the quality look good but their no were in you website shows the price

    JibuFuta
  2. Naomba muwe na tovuti mfano www.mbeyaroofing.com

    JibuFuta