Jumapili, 14 Februari 2016

MBEYA ROOFING SHEET Co.Ltd


Ni kiwanda bora na cha kisasa kilichopo jijini Mbeya na chenye kuzalisha mabati yenye viwango na Rangi mbalimbali.


Unapofikiria kujenga jenga na Mbeya Roofing Sheet Co.Ltd.


Kwanini uchague Mbeya Roofing Sheets.?

1..Kwanza yana ubora wa kimataifa uliothibitishwa na TBS.Ni bora na imara Kwa matumizi ya nyumba za aina zote..

2..Yatakufikia mahali ulipo bila usumbufu wowote kwasababu yanatengenezwa hapahapa jijini mbeya..

3..Hayapati kutu haraka kwasababu yanamchanganyiko wa Zinc na Aluminium..

4..Bando za bati za kawaida zinapatikana pia..

5..Yanapendezesha nyumba na kuifanya yenye mvuto wa hali ya juu..

6..Yanaongeza thamani ya nyumba na kuifanya iwe bora zaidi..

7..Yanastahimili misimu yote iwe mvua au jua ,mabati yanabaki na ubora uleule..

8.Yanapatikana Kwa urefu wowote unaotaka hivyo hakuna hasara ama uharibifu wa kukatakata mabati ovyo..

9..Unapotaka mabati kwaajiri ya nyumba yako,Order inafanyiwa kazi na unapata siku hiyohiyo..

Kumbuka bei zetu ni nafuu sana.Hauhitaji tena kuagiza mabati kutoka Nje ya MKOA huu wa mbeya.Hivyo unaokoa gharama kubwa na unapata mabati Kwa aina ,Rangi na ukubwa unaolingana na mahitaji ya paa LA nyumba yako.!!


  Huna haja ya kukatakata mabati tena!.

  Kwa mawasiliano zaidi:0756711860 au

0715711860. Au barua pepe 

lucasromanus1986@gmail.com
Au Mbeyaroofing.blogspot. com

Maoni 12 :