Jumamosi, 13 Februari 2016

Mbeya roofing Sheet Co.ltd ni kiwanda bora na cha kisasa kilichopo mkoani Mbeya.Kinazalisha mabati yenye viwango na rangi mbalimbali

Tunatengeneza mabati yenye ubora wa hali ya juu na yanamfikia mteja Kwa urahisi na Kwa bei nafuu sana.Hauhitaji tena kuagiza mabati kutoka nje ya mkoa huu .Hivyo unaokoa gharama kubwa na unapata mabati Kwa aina,Rangi na ukubwa unaolingana na mahitaji ya paa LA nyumba yako. Hauna haja ya kukatakata mabati Tena!!

 Kwa mawasiliano :0756 711 860 or 0715 711 860
Au barua Pepe :lucasromanus1986@gmail.com
Au Mbeyaroofing.blogspot.com

Maoni 2 :

  1. tafadhali naomba bei za mabati gauge 30 migongo mipana rangi ya karoti nipo mlowo Na usafirishaji inakuwaje 0679179165

    JibuFuta
  2. Mbeya mnapatikana maeeneo gani,na bei zenu zipoje kwa sasa

    JibuFuta